Je, gypsum au chokaa inapaswa kuchanganywa kwa kiwango gani??

Gypsum au chokaa inapaswa kuchanganywa kwa kiwango cha 2-5% ya uzito wa kimenge’enywa kikavu.

Kwa mahitaji ya mbegu bora za uyoga na maelekezo zaidi yuu ya kilimo cha uyoga wasiliana nasi +255765264666

About the author: Joel Bisoma
Agripreneur based on Horticulture and Animal feed production, Founder and Chief executive officer of Uyogaplus, the cooperative enterprise for Tanzanian mushroom growers.

Leave a Comment

0
X