Kazi ya gypsum au chokaa katika kimeng’enywa cha uyoga
0

Je, ni nini kazi ya chokaa au gypsum katika kilimo cha uyoga ?

Chokaa au gypsum hutumika kuongeza pH(kiwango cha acid na base) katika kimenge’nywa cha kukuza uyoga kama vile nafaka, vumbi la mbao, kahawa na majani kiwango cha pH kinapo ongezeka hupunguza hatari ya kimeng’enywa kuingiliwa na wadudu kama bacteria na kuvu wasio faa.. Pia ni kiboreshaji cha mavuno kwani hutoa madini nakusaidia mycelia kutanda vizuri..

Pamoja na kuweka gypsum au chokaa katika kimeng’enywa wingi au ubora wa mazao unachagizwa zaidi na hali ya hewa ya banda pamoja na ubora wa mbegu.

Kwa mahitaji ya mbegu bora za uyoga, wasiliana nasi +255765264666.

About the author: Joel Bisoma
Tell us something about yourself.

Leave a Comment

0
X